Meet Mo Scholar Sandra

On this Women’s Day 2024, meet Sandra, one of the female scholars under the Mo Dewji Foundation Higher Education Scholarship Program. While still in the 3rd year of studies, she is an Agricultural Entrepreneur transforming the lives of 25 female farmers.

Do you have a story that is transforming lives? Write to us.

Katika siku hii ya Wanawake 2024, kutana na Sandra, mmoja kati yawanawake wengi wanachuo anayedhaminiwa na Mo Dewji Foundation . Akiwa bado katika mwaka wa 3 wa masomo, yeye ni Mjasiriamali wa Kilimo anayebadilisha maisha ya wakulima 25 wa kike.

Je! una hadithi ambayo inabadilisha maisha? Tuandikie.